Tuesday 15 July 2014

ZIFAHAMU SEHEMU KUU MBILI ZENYE MSISIMKO ZAIDI KATIKA MWILI WA MWANAUME.

 



Zifuatazo ni sehemu kuu mbili (2) zenye msisimko katika mwili wa mwanaume




1. SEHEMU YA KWANZA: Kwenye KIFUA Kifua ni moja ya sehemu alieumbiwa kila mwanadamu jinsia zote na sehemu hii ya kifua ina mfumo wa kuamsha hisia katika mapenzi 

2. SEHEMU YA PILI: Kwenye U,UME:
Uume wa mwanaume ni sehemu moja wapo inayoleta msisimko wa raha katika mapenzi pindi unapotaka kumuandaa mpenzi wako kwa ajili ya tendo husika,
Kwa kufanya hivi utamsisimua mpenzi wako na kumfanya azidi kuhisi raha na itamfanya aweze kufurahia penzi. ZINGATIA tumia muda mwingi kuonesha maufundi yako katika maandalizi ya Awali.Hizo ndio sehemu muhimu zenye kuleta hamasa katika mapenzi kwa upande wa wanaume