Friday 25 July 2014

CHUMBANI ZAIDI: WANAUME ACHENI USHAMBA...UKUBWA WA MKONO HAUKOLEZI UTAMU WA NGOMA...SOMA ZAIDI HAPA...

NAAM kama ilivyo ada yetu, tumekutana 
tena kwenye kona yangu mimi shangingi 
mstaafu mwingine fotokopi, nasikia kuna 
watu wanajiita mashangingi wastaafu sifa 
yao kubwa kunywa pombe za watu na 
kuambulia kipigo mikovu kama kibaka 
mzoefu. 
Siku zote tutashindana lakini mimi nitabakia 
namba moja, najua ujuayo na usiyojua, kaa 
chini mwali nikufunde ulikimbia unyago 
hujui mizungu inaokotwaje. Ndiyo maana 
nikasema mtashindana lakini hamtashinda 
namba moja nitabakia mwenyewe. 
Wapo wanaotaka eti tukutane hadharani 
tuoneshane nani zaidi, bado nakuelezeni 
msipoteze muda wenu kunijadili moja 
mpaka kumi nimekamata mie sijui ninyi 
wenzangu mmeshika namba ngapi hammo 
hata kwenye kumi bora. 
Hebu nipishe niwape raha au unataka 
umaarufu kupitia jina langu, sikukatazi 
lakini kimoyomoyo unajua kabisa anti Nasra 
namba moja yake mpaka kumi ila kuanzia 
kumi na moja kanyaganeni huko siwaingilii. 
Hebu tuzungumze kilichotutoa majumbani 
kwetu na kununua gazeti kisha kuisoma 
kona hii. 
Leo nataka kuzungumza na mijanamume 
yenye kukimbilia kwa waganga kuongeza 
ukubwa wa nyeti. Jamani nakuulizeni ninyi 
waganga wa kienyeji mnaoongeza ukubwa 
wa bakora mnajua ukubwa wa chungu 
anachokwenda kuingiza mwiko wake? 
Unajisikia raha gani unapoingiza mwiko 
kwenye chungu, mwenzio anauma meno 
kwa maumivu nani alikuambia raha upate 
wewe peke yako. Basi leo nataka 
kuwaelezea kitu kimoja hasa ninyi 
mnaojiona bakora zenu fupi. 
Usikimbilie kwa mganga kuongeza 
ukubwa, nani aliyekuambia ukubwa wa 
mkono ukoleza utamu wa ngoma. Au 
udogo wa mkono hupunguza utamu wa 
ngoma? 
Hebu nisikilize tena nisikilize kwa makini 
kutomfurahisha mpenzio si udogo wa 
mwiko bali kujua kuutumia, unakimbilia 
kuongeza ukubwa wa nanihino ili 
umfurahishe mkeo au umkomoe? 
Siku zote vita ni mbinu si manguvu mengi, 
vilevile utamu wa mahaba uwe mtundu wa 
kujua nikae engo gani mpenzio anapokuwa 
amekaa mkao fulani. Wengi najua hamjui 
matumizi ya mitindo ya mapenzi (Style) 
maana ya mitindo ya mapenzi ni kutokana 
na maumbile ya mwanaume. 
Kama mafupi mpenzio unatakiwa umuweke 
mtindo gani kama marefu vile vile mpenzio 
unatakiwa umuweke mtindo 
gani.Ukishajua matumizi ya staili za 
mapenzi hutasumbuka kukimbilia kwa 
waganga, hivi nani aliyekuambia mpaka 
ufike chini ya mchanga ndipo mpenzio 
apate raha, jamani raha zinapatikana hata 
mwanzo mwa kisima kwa kujua kuteka 
maji kwa kata. 
Huchoti maji mengi jaza kidogo… kidogo… 
kidogo… kidogo, hebu kajaribu umsikie 
mpenzio atakupa salamu gani. 
Pia nataka kuwaeleza wote wanaokimbilia 
kuongeza ukubwa wa bakora zao, mnajua 
madhara yake? 
Basi nataka kukueleza maumbile yaliyo bora 
ni yale uliyoumbiwa na Mungu, ukiyaongeza 
baada ya muda huishiwa nguvu na kujikuta 
kwenye tatizo lingine la kutafuta nguvu za 
kiume. 
Waulize waliyoongeza ukubwa sasa hivi 
wanajuta ngoma ikilala hainyanyuki tena 
wamebakia kula kwa macho mikono 
kupapasa bila kufaidi. Bakora zao 
zimebakia kama magobore ya mbao hayana 
kazi bora wayakate wawashie moto wa 
kuchemshia maji. 
Hivi jamani kucha zinazokuna kwa raha fupi 
au ndefu, siku zote kucha fupi zina raha 
zake, ukiwa na kucha ndefu huwezi 
kumkuna mtu zaidi ya kumuumiza na 
kumsababishia vidonda. 
Nina imani nimesomeka, basi ndiyo mimi 
Anti Nasra Shangingi Mstaafu.