Thursday 24 July 2014

MWANAMKE USAFI KITANDANI MUHIMU, SIO KITU KINANUKA KAMA PANYA KAFIA HUMO…!

kitu
Nimekuwa na mpenzi wangu takribani mwaka mmoja sasa na mapenzi yetu yamekuwa mazuri bila ugomvi wa mara kwa mara.
Tatizo la mpenzi wangu ni kutoa harufu kali na tutoa utoko mweupe wakati tukiwa faragha.Nimevumilia kwa muda wote huo nami nimejitahidi sana kutafta dawa lakini tatizo naona haliishi.
 
Japo nampenda sana lakini hali ile inasababisha nikose hamu ya tendo la ndoa na kusababisha niishie round moja na hilo round moja najitahidi kumweka katika style ambayo hata harufu ikitoka sitoweza kuiskia moja kwa moja.
 
Mpenzi wangu huyo ni mzuri,ana shape nzuri kwakweli Mungu kamjalia lakini kama wasemavyo watu wazima kuwa Mungu hakupi vyote basi yule ndo kapata huo ugonjwa.
 
Mara ya kwanza wakati nasex nae ile wakati tunafanya romance sasa nikawa nimepeleka mkono sehemu ya papuchi bt nilikuwa bado sijamvua skin jeans lakin harufu iliweza kupita kwenye chupi,tyte na mpaka skin jeans na kufikia mkono wangu….aibu gani mwanamke kuwa na harufu hiyo.
 
Kwakweli nilijitahid kuvumilia harufu hiyo na utoko lakini naona nimeshindwa maana hata tokea nimekuwa nae mtoto wa kiume sikuwahi kuzama chumvini kwa kuhofia kupata fangasi.
 
Nahisi nakuwa simfikishi kileleni maana nakosa hata ujasiri wa kumwandaa kutokana na harufu hiyo.
 
Tatizo jingine huyo mpenzi akinyoa nywele sehemu za siri kama kwapa na papuchi anatokwa na mapele,kwakweli nakuwa nakosa amani.
 
Naomba ushauri wa namna ya kumaliza hili tatizo au dokta mzuri wa wanawake ili niweze kumsaidia huyu dada huko mbeleni asije kuhadhirika.
 
Asanteni sana.