Tuesday 15 July 2014

AMA KWELI MTOTO UMLEAVYO NDIO AKUAVYO...TAZAMA PICHA HUYU DOGO ANACHOKIFANYA

Daah ebu angalia huyu mtoto alivyokipinda icho kiuno chake, yaani inaonyesha hayo mambo amezoea kuyaona kilasiku kwahiyo hakuna
kushangaa apo, ama kweli tunakoelekea ni kubaya sasa maana ukitaka kujua utamaduni wetu Umekufa tembea sehemu zote sikuizi huwezi kukuta watoto eti wanacheza KOMBOLELA, MDAKO, KURUKA KAMBA, KUTENGENEZA MAGARI ya mabati, sasa apo mtoto atajengwa vipi kiakili na kitamaduni kama enzi zetu sie jamani....