Tuesday 15 July 2014

KUVIMBISHA MAZIWA KWA MWANMKE NA KUYANYANYUA NI MITEGO AMA NI UREMBO!!! SOMA HAPA!!

Wakina mama na wakina Dada
wameanzisha mipango mipya ya
kuvimbisha maziwa ,wengine wakiyapiga
sindano yawe magumu, imefikia hata
wenye haki yaani watoto wao unyimwa na
kupewa chupa huku wakiwalaghai wame

eti maziwa hayatoki. Tabia hii imeshika kasi
mpaka wanawapa tabu mafundi nguo ,
wakishona bila kuweka mbeleko ya
kuyabeba.
Wasichana wamefikia.hatua ya kujikaba
kifua huku wakieemea juu juu kisa yatune.
wengine masikini yashakuwa
sokis lakini
ngozi hiyo itakabwa wee mpaka itune.
Je kuyakaba na kuyatunisha ni ulembo au
mitego Nawakilisha...