Monday 28 July 2014

JAMANI HII NI LAANA, ETI HUYU MSICHANA AFANYA ULE UPUUZI WAKUMTUMIA MPENZI WAKE PICHA ZA UCHI. ONA SASA ZIMEVUJA

2go lover

Dada zetu bana sijui wataacha lini huu mchezo wakuweka picha mbaya kwenye simu zao.Mnadiliki hata kuwatumia wapenzi wenu picha za uchi bila uwoga duuh! Kila muda mnaona matukio mtandaoni wenzenu wanavyoaibika lakini hamkomi. 

Sasa ona naye huyu aliyemtumia mpenzi wake picha za uchi kwenye mtandao wa 2GO.

Jamani ifikie muda mbadilike, sasa tutaona nyeti zenu hadi lini? Tumechoka sasa, mbona ni shida?