Tuesday 15 July 2014

POMBE SIO SODA WALA KIJOTI; MREMBO ALIWA NA KUDONDOSHA USINGIZI MPAKA MAJOGOO ... NOMA SANAAAA

Alidai anakunywa moja tu kupunguza mawazo kwani aliyemwahidi kumchumbia kaingia
mitini lakini kadri muda ulivyokuwa unayoyoma alikua anaongeza kilaji tu mpaka pale akawa ajitambua kilichofata baada ya hapo ........mpaka asubuhi.