Tuesday 29 July 2014

UTAFANYA NINI SIKU UKIGUNDUA MPENZI WAKO ANAKULOGA?! SHUKA NAYO HAPA...


Ivi ikitokea mkeo kasafiri,siku moja unaamua kufanya usafi unaamua kumfulia nguo zake unapochukua mfuko wa nguo zake chafu unakuta DAWA ZA

KIENYEJI mbili tofauti zikiwa zimefungwa na kufichwa chini kabisa,unahamaki na unaamua kumwita mtaalam wa tiba za asili...taalam anakufahamisha kua dawa moja ilikua uwekewe kwenye maji ya kuoga na nyingine kwenye chakula,mala baada ya kutumia kile atakachotaka ndicho utakachofanya...Mke wako akirudi utamfanyaje?