Saturday 19 July 2014

NOMA SANA MSANII ANASWA AKILAZIMISHA KULIWA MATE NA KIBABU CHA KIZUNGU, TAZAMA PICHA HAPA

MSANII

Msanii asiyekuwa na jina kubwa nchini YUSTER NYAKACHAKA ameitia aibu familia yake pamoja na watanzania kwa ujumla kufuatia kufumwa akilazimisha penzi kwa babu wa kizungu mbae ni sawa na babu yake wa kuwazaa wazazi wake, na inasemekana amezaa nae watoto wawili kwa kulazimisha.

Xdeejayz ambayo imenasa picha hiyo ambayo ilirushwa na msanii huyo akiwa na babu huyo anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 62 na walionekana kupiga siku ya wapendano.
Hata hivyo kwa mujibu wa watu wanamfahamu msanii huyo walisema kuwa amekuwa akimrubuni babu huyo wa kizingu anaefanyakazi kwa mkataba kwenye kampuni moja iliyopo Masaki Jijini Dar huku akijaribu kumpagawisha kwa kutoa penzi kinyume na maumbile japo mzungu huyo achanganyikiwe na kuisahau familia yake iliyopo ughaibuni lakini wapi.
Aidha kwa mujibu wa mtu mmoja ambae anamfahamu dada huyo toka akiwa mcheza ngoma hadi kuwa muigizaji amekiteka vilivyo kizee hicho ambacho hata wazazi wa muigizaji huyo wadogo na humuamukia shikamoo hali inayowakosesha amani wazazi wake.


Aidha tabia ya dada zetu kutembea na vibabu vya kizungu imeendelea kushamili kila kukicha na hivi karibuni msanii Shilole ambae aliopoa mzungu mtaani na kumtangaza kama mchumbaake kumbe baadae taarifa zikavuja kumbe mzungu huyo ni bwabwa anahemewa kisongoni hali ilimpa hasara msanii huyo.


Taarifa zilizotua mezani kwa Xdeejayz zinasema kuwa msanii huyo licha ya kibabu hicho kumpatia kila kitu lakini amekuwa akijihusisha kimapenzi na mwanamuziki mmoja wa bolingo ambae ni raia wa Kongo jina linahifadhiwa lakini itakapobidi ataanikwa hewani