Saturday 26 July 2014

Haya Ndiyo Madhara kwa Wanaume Wanaopenda Kufanya Mapenzi Kinyume Na Maumbile (KULA TIGO)...Bofya Hapa

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi 
kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-#: Husababisha kusinyaa au 
kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.#: Njia ya haja ndogo kuziba 
kiasi au kuziba kabisa.#: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo 
(prostate gland).#: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.#: 
Kuharisha.#: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga 
Mwilini (Ukimwi).#: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo ausonona 
kwa kujutia tendo hilo. KWAUPANDE WA MWANAMKE.Ukizoea sana kupigwa 
nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa 
wakatiwa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la 
kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo 
hulegea baada ya kuzaa.Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha 
na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi.Ukiangalia yale 
yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko 
yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.Kila mwenye tatizo 
aende kwenye hospitali yoyote kubwa iliyo karibu au Tiba ya kwanza ni 
kuachana na mchezo huo kisha unaweza kufanya taratibu zingine za 
kucheki afya yako..