Tuesday 15 July 2014

UMBO LANGU NI OFISI TOSHA SASA KAZI YA NINI MIMI?

http://theclicktz.com/
Kuna watu wanalitafuta umbo kama langu kwa wachina mwisho wa siku wanaumbuka mi hili langu nimezaliwa nalo. Wacha linipe riziki kwani
sijaazima wala kununua ni langu tena langu mwenyewe. Upo hapo..!! MMMHH  JAMANI YUKO SAWA KWELI HUYU..!!