Sunday 27 July 2014

Mwanamke Ubunifu jamaniiiii!!! Pozi kama hili linadumisha penzi!!! Bofya hapa

Naye Horaw Pierre wa ufarasa alifanya utafiti katika jiji la maraha kuzidi majiji yote duniani "Paris" na kubaini kuwa wanawake wengi wenye mapozi wanapendwa sana na wanaume lakini wengi wa wanawake hao wanaolewa lakini ni wepesi sana wa kuachika kutokana na fikra zao za kujihisi kuwa wao ni wazuri na kufanya kiburi kwa waume zao. Pia naye Ching Annig wa china alibainisha katika utafiti wake kuwa lisha ya kupedwa na wanaume wengi pia wanawake hao wenye mapozi ni wataalam sana wa kula chakula cha usiku kuliko wale ambao hawana mapozi. 
Ndugu yangu kumbuka kuwa pozi lako nalo ni chachu ya kudumisha penzi unatakiwa kukaa katika mapozi ya mvuto kwa mpenzi wako. Katika tafiti mbalimbali ikiwemo ya Mary Jackson zinabainisha kuwa wanawake wenye mapozi mengi wanapendwa na wanaume wengi zaidi ya wale ambao hawajui mapozi.
Je wewe mfuatiliaji wa mblogu hii unasemaje juu ya suala hili ni kweli wanawake wenye mapozi wanapendwa na wanume zaidi ya wale ambao hawana mapozi?