Sunday 6 July 2014

MMHH...! JAMANI RIHANA HAISHIWI VITUKO AISE, NAMFANANISHA NA LULU. HEBU CHEKI HAYA MAVAZI ETI HUU NDO MTOKO WAKE WA CLUB. USUPASTAA SHIDA KWELI

Huyu dada bana yaani haishiwi vituko kila kukicha, hivi nikimfananisha na msanii Lulu nitakuwa nakosea?
Naona kama wanaendana swaga hivi kwani naye haishiwi vituko kila kukicha.
Eti huu ndo mtoko wake wa club, hebu ngalia picha zake zaidi hapa chini.

Wacha wee....hebu mwone huyu mtoto.
Ayaaaa....laana kabisa. Ni shida eti...looh!

Uwiiii....mashalalah!