Sunday 6 July 2014

JAMANI NIFANYAJE MAKALIO YANGU YASITINGISHIKE NIKIWA NATEMBEA?

Nina mwili wa kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa
na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.