Friday 11 July 2014

TAZAMA PICHA TATA ZA MSANII HUYU WA MAIGIZO ZILIZOFANYA APIGWE KIBUTI MAZIMA NA MPENZI WAKE

Hii tabia ya wasanii kupiga picha za nusu utupu imekithiri lakini msanii huyu wa nigeria anayejulikana kwa jina la Uche Iwuji imesambaratika baada ya bwana wake kuzipata picha hizo
za  mpenzi wake na kuamua kumpiga kibuti mazima, picha yenyewe ambayo ndio chazo cha kutoelewana ni hhii ambayo tumeileta leo hii kama inavyoonekana, hii ni fundisho na pia nadhani
kama wanaume wote tungekua tunachukua uamuzi kama huu basi hii tabia ingekoma mara moja