Friday 11 July 2014

TAZAMA PICHA MWONEKANO MPYA WA VIDEO QUEEN VERA SIDIKA BAADA YA KUNYOA NA KUONDOA WIGI


staa huyo ameonyesha mwonekano wake mpya baada ya kuachana na mawigi, akizungumza na mapaparazi alisema mkato huo unaitwa pixie

cut, na kusema ameamua kujaribu kitu cha tofauti, je wewe unaionaje hiyo stali yake mpya ? dondosha maoni hapo chini