Friday 11 July 2014

BAADA YA KUACHIA PICHA ZA NUSU UTUPU MTANDAONI, STELLA MWANGI AWEKA WAZI UKWELI KUHUSU PICHA HIZO...SOMA ZAIDI


baadaya hivi juzi kuachia picha mbali mbali ambazo zimeacha wazi sehemu ya mapaja yake na kuziweka instagram, watu walikuja juu na

kumshutumu stella mwangi kwa kukosa maadili, msanii huyo hata hivo amekanusha vikali tuhuma hizo na kudai hiyo ni sehemu ya kazi kwani picha hizo ni sehemu ya mwonekano wa video yake ya bihashara  ambayo ni remix ambapo amewashirikisha wasanii wengi kutoka kenya,