Saturday 12 July 2014

OMG!! NAUMIA SANA.. LAKINI HII NDIYO NJIA RAHISI YA KUMFANYA MPENZI WAKO ASIENDE KUONJA PEMBENI!!

Hongereni kwa mfungo na habari zenu wadau. Jamani nimekua mhanga kwa
hii kitu kwa mda mrefu, naomba niweke wazikua nilikua mfuasi sana wa
hii kitu , kununa nuna bila sababu ya msingi, kosa dogo kwangu kubwa,

yaani kuna mda nalianzisha makusudi anabaki anatafakari then naingia
chumbaninachekaaaaaaa hadi raha, bt it was those tymes. Sasa sijui
nimemfundisha au ye ndo kawaticha zaidi yangu, yaani kila baada ya
miezi miwili au mitatu mnuno ndani sababu ya msingi haijulikani, bad
enaf mnuno unakua hadi cku tatu.Hapa salam tu ana shida anauliza kiko
wapi nna shida namuuliza hakuna maongezi ya ziadathen itatokea from no
wea mnajikutamnadiscus mnaombana msamaha yanaisha, yaani hapa kuna mda
mmoja anajishusha au wote mnakaza hadi coincidence itokeee.
Sasa we r
in bad terms again hivi najiuliza nini kinatushinda kuchukulianaq ,
Napata tafsiri kua bado tuna mapenzi ya kitoto sasa yanaisha lini au
dawa yake nini, nimechoka jamani nisaidieni, maanatunadisucus then
after sometym inarudi, Pllllls wakongwe help me wenye experience ya
mahusiano, nawale team kununa nuna kama mie
mwanzoni wakuje wanisaidie
nataka nijitoe kwenye team