Wednesday 2 July 2014

Nishidaaah!! Dhahabu kitandani??!!! Nilishtukaaa sana... Jionee Maajabu Haya

Nimeolewa nina watoto wawili.mimi ni nesi na mume wangu ni mhasibu,kama mnavyojua kazi yangu huwa mda mwingine naigia kazini usiku na kurudi asubuhi.

Jana niliingia kazini usiku,mume wangu alibaki nyumbani na watoto.Niliporudi

asubuhi nilimkuta mume wangu bado amelala kitu ambacho sio kawaida yake.

Nilimuuliza kama anaumwa akasema hapana.Basi kwa kuwa nilikuwa nimechoka sana na mimi nikijitupa kitandani nikaungana na mume wangu nikalala.Nilipoamka sijamkuta mume wangu kitandani.

Wakati natandika kitanda nilikuta
cheni ya kiunoni ya 
dhahabu,nilishitka sana maana mimi sina kawaida ya kuvaa cheni kiunoni.