Wednesday 2 July 2014

Jamani Nafikishwa Kileleni Na Mkojo Hapo Hapo..... Jionee Mwenyeweee.

Hi! natumaini umzima tena wa afya mimi ni mzima sana na shukuru mwenye kutupa uzima ,mimi nina swali moja naomba unisaidie ,rafiki yangu mpenzi ana matatizo makubwa sana yanayo mkabili ,yeye ana
mchumba ambaye anampenda sana lakini tatizo alilo nalo ni kwamba pale tu anapofikishwa kileleni na mchumba wake(bf) ana achia na mkojo hapohapo kitu ambacho kina mkera sana shem wangu na
kwa habari za chinichini ni kwamba ana taka kumuacha kwa sababu hiyo jambo ambalo binafsi linaniumiza sana sana kutokana na kwamba nirafikiyangu wa karibu sana na yeye

nahisi ataumia zaidi kitu ambacho kitamletea hata kuwaza kujiua ,jamani msaidieni afanye nini na ana matatizo gani ?