Tuesday 8 July 2014

NIMECHOKA KUUMIZWA NA MAPENZI!! NTAJITIA KITANZI KAMA NDO HIVI... JIONEE HUYU DENT HAPA

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es
Salaam aitwaye Tina Kinozi ataka kujiulia
gesti jana usiku baada ya kuchoka
kuumizwa moyo na wanaume ambao
wameonesha kutokumpa ushirikiano wa
kimapenzi kabisa.
Chanzo cha habari hii kinasema kuwa
mwanadada huyo alikuwa na miadi ya
kukutana na mwanaume ambaye
inasemekana pia ni mwanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaam jana usiku kwenye
gesti moja mashuhuri sana iliyopo Sinza,

Dar es Salaam. Mwanadada huyo alimsubiri
mtu wake mpaka saa 6 usiku, lakini
hakutokea kabisa!! Baada ya kugundua
kuwa
AMECHOMESHWA MAHINDI mpaka muda huo,
alipatwa na msongo wa mawazo na hivyo
akaamua kununua vidonge vingi sana
kwenye duka la madawa na kuvimeza ili afe
na kuondokana na matatizo ya dunia hii!!
Kutokana na maelezo ya rafiki yake wa
karibu sana, Rehema Mwakipesile,
mwanadada huyo amekuwa akilalamika
sana kuwa hapendwi na wanaume kabisa
na ikitokea amempata mmoja wa bahati,
huwa anamkimbia punde baada ya
kugongana naye ama hata kabla ya hilo.
Mwakipesile aliongezea kuwa, huyo
mwanaume wa jana alikuwa ni wa 28
tangu alipoanza kusoma pale UDSM mwaka
juzi, na ni mwanaume pekee
kati ya hao
aliyefikia hatua ya kupanga miadi ya
kukutana naye gesti!!
Kutokana na mwanadada huyo kuwa na
nyege nyingi sana, aliwahi mapema ya saa
12 jioni na kulipia chumba mwenyewe.
Cha kushangaza, mpaka saa 6 za usiku, mtu
wake alikuwa hajawasili na simu yake
ilikuwa haipatikani!! Mwakipesile aliendelea
kumwamwambia Mzee wa Makopaz kuwa
Tina alikuwa amechoka kitendo hicho cha
wanaume kumbabaisha ingawa ni mrembo
sana, na hivyo alikuwa akizungumzia
masuala ya kujiua tangu siku nyingi sana
kwani aliona maisha bila kupendwa na
wanaume ni sawa na kifo tuu.
Hata hivyo, mwanadada
Tina aliwaishwa
hosipitalini na hivyo matabibu wakajitahidi
kadri ya uwezo wao kuyaokoa maisha yake,
na kwa sasa anaendelea vizuri