Thursday 3 July 2014

KWELI MKE WA MTU NI SUMU...JAMAA AFANYIWA KITENDO KIBAYA...AINGIZWA RUNGU SEHEMU NYETI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU

MKE WA MTU NI SUMU: Waswahili hawakukosea hata kidogo katika msemo huu...!Kijana aliyejulikana kwa jina la Mussa mkazi w Kitunda hatoweza sahau
maishani mwake maswahibu yaliyomkuta baada ya kuwekewa mtego na mwenye mali hatimaye kunaswa live...! 
 
 
Mke anauma jamani, ukitaka kuamini basi shuhudia mwenyewe kilichomkuta kijana Mussa...!Tafadhali picha zifuatazo hazina maadili kabisa...