Sunday 13 July 2014

HILI TATIZO LA WASANII KUVUA NGUO NA KUCHEZA NUSU UTUPU NA MASHABIKI WA KIUME DAH NI SHIDA, HUYU DADA AMWAGA RADHI ASWAA

imekuwa tabia inayokua kwa kasi kwa madada wa bongo flava hasa wanaofanya mziki wenye maadhi ya mduara kucheza nusu utupu stejini na kuwaita mashabiki wa
kiume na kuwachezeahuku wakiwakatikia mithiri ya mke na mume chumbani, sasa watu wanakuwa hawaelewi je kwamba ukifanya hivo ndio unajikusanyia mashabiki au unajiaibisha kiaina bila wewe kujijua? kwa ushahidi unaweza kutazama hizi picha then tupe maoni hapo chini