Friday 4 July 2014

AIBU KUBWA...NGONO LIVE VICHOCHORNI...MACHANGU NA WATEJA WAO WANASWA WAKIFANYA YAO. TAZAMA PICHA HAPA


Vijana wa kike na wa kiume walionaswa wakifanya vitendo viovu
uchochoroni. MAJANGA! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) inayodili ya maeneo korofi kwa uovu, imewanasa vijana wa kike na

kiume wakifanya vitendo vichafu vichochoroni, maeneo ya Mbagala-Zakheem, Dar. Awali, OFM ilipokea malalamiko kutoka kwa wakazi wa maeneo hayo juu ya vijana hao kufanya  ngono vichochoroni na kusababisha
kuzagaa kwa maboksi ya
mipira ya kiume (kondom) maeneo hayo kutokana na kutupwa hovyo baada ya kutumika.
AIBUUUU..