Thursday 3 July 2014

AIBU KUBWA...NGONO LIVE VICHOCHORNI...MACHANGU NA WATEJA WAO WANASWA WAKIFANYA YAO. TAZAMA PICHA HAPA

Vijana wa kike na wa kiume walionaswa wakifanya vitendo viovu uchochoroni. MAJANGA! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) inayodili ya maeneo korofi kwa uovu, imewanasa vijana wa kike na
kiume wakifanya vitendo vichafu vichochoroni, maeneo ya Mbagala-Zakheem, Dar. Awali, OFM ilipokea malalamiko kutoka kwa wakazi wa maeneo hayo juu ya vijana hao kufanya
ngono vichochoroni na kusababisha
kuzagaa kwa maboksi ya mipira ya kiume (kondom) maeneo hayo kutokana na kutupwa hovyo baada ya kutumika.
AIBUUUU...