Monday 23 October 2017

SIMULIZI: DADA VUA 12

..........ilipoishia

Akili ya shangazi ilijua tuu huyu atakuwa ni Helena,Alimuita kwa ishara ya kichawi.Kumbuka helena alikuwa karibu kabisa na kina Lucy,Basi helena akiwa katika umbo la mnyama alianza kunusa nusa kama mbwa anatafuta kitoweo.Helena aligundua kuwa anaitwa na shangazi yake,Basi aliondoka na kumfuata Shangazi pale alipo.Lakini cha kushangaza zaidi Helena alipofika kwa

sahangazi aliuma nguo ya shangazi huku akimvuta kuelekea kule waliko kina Sule.Shangazi hakujua kwanini helena anamvutia huko alikokuwa,Naye hakutaka kupuuza ujinga wa helena alimfuata.....

Inaendelea......USIWE MCHOYO SHARE ILI NAMI NIFANYE KWELI.

Lucy alikuwa yuko juu ya kifua cha kidume sule tayari kabisa kukata mauno.Wakati huo Sule alisikilizia na kuungoja utundu wa Lucy.Walikuwa hawana hili wala lile walichojua wao ni kuwa hakuna mtu aliyewaona.Kumbe Helena ameshuhudia kila kitu kilichoendelea baina ya Lucy na Sule.Basi Lucy alianza kuitoa suruali ya Sule taaratibu ,Aliishusha mpaka magotini kisha akaifunua boxer ya Sule na kuiacha dudu ikiwa nje nje.Lucy naye aliipandisha vizur ile nguo yake na akaanza kuishusha chupi yake mpaka magotini.Lucy aliikamata dudu ya Sule tayari kwa kuanza shughuli.Shangazi kama kawaida yake mziba riziki alikuwa kashatia maguu pale,Lucy na Sule wakiwa katika staji ya utamu kolea Lucy alishtukia kusikia kibao cha matako"Paaaaah!!".Alishtuka na kukurupuka cha kwanza aliivuta chupi yake na kuivaa,Sule naye haraka haraka aliipandisha suruali na boxer yake kwa pamoja maana sio kwa fumanizi hilo.

Sule kwa aibu alifunika uso wake kwani ni mara ya pili shangazi anamfuma na tena bora ingekuwa ni kwa helena tuu Sule alitaka kupita na wote Shangazi alikasirika"Weee umbwaa unataka kuharibu wanangu woote!!!! muone bichwa lake kama rungu".Sule kwa mara nyingine anakosa chitumbua kwa mrembo Lucy,Sule kwa aibu alinyanyuka na hakuwa na kumbukumbu begi lake kaliacha wapi maana shughuli ilikuwa pevu,Shangazi alimwambia"Nenda mwana kwenda nilikuona una busara kumbe kuhani mkubwa!!Punguani weye!!"Sule aliporomoshewa mitusi mfululizo na shangazi.Shangazi alimgeukia Lucy na kumwambia"Hivi nyie mnanitaka nini labda!!?,Au nivue nguo niwaachie radhi pumbavu nyie!!!"Lucy alimuangalia shangazi yake kwa dharau kisha akaongea"Hivi shangazi kwa kuwa wewe haukuolewa ndio unataka na sisi tuwe kama wewe!!!"Shangazi alikasirika akamuita Helena kwa ishara kama kawaida kisha akamnyooshea kidole na helena pale pale akarudi katika hali yake,Shangazi alimgeukia Lucy kisha akamnyooshea kidole.Lucy alikuwa jeuri lakini alivyoona kidole alijikuta anaomba msamaha,Lakini shangazi alimgeuza Lucy kuwa lidubwasha kama alivyokuwa Helena.

Helena alimfuata shangazi yake kisha akampigia magoti kumshukuru"Asante sana shangazi yangu nakupenda sana"Shangazi alimuangalia kisha akamwambia "Nyanyuka halafu mwambie lucy aache kunidharau naweza kumfanya aishi hivyo milele shetani huyu!!?.Wakati huo Sule alifika katika nyumba ya shangazi yake Helena na kuanza kuizunguka kama vile amechanganyikiwa.Alikwendakutafuta begi lakini safari yake iliishia pale kwa kuizunguka nyumba.Shangazi alimuamuru Lucy aende kwenye banda lao,Banda hili ni banda ambalo waliishi kipindi kile walipokuwa misukule kamili walipokuwa hawatoki ndani.Basi shangazi wakiwa na Helena walifika pale nyuma ya nyumba yao na kumkuta Sule anazunguka tuu.Walimuacha akizunguka pale kisha wao wakaingia ndani,Shangazi alimwambia Helena" Sasa helena nataka unisaidie kitu"....Helena alimuuliza"Kitu gani tena shangazi"......."nataka nimuachie huyu kijana lakini nataka uumpe kinywaji hiki anywe utajua wewe utatumia njia gani kumshawishi lakini ninachotaka ni akitie tuu mdomoni".Helena kusikia vile naye akatumia nafasi hiyo kumuombea Lucy msamaha"Lakini shangazi kwanini tusimsamehe tuu Lucy maana anateseka sana".

Shangazi huwa anampenda Helena kiasi fulani hivyo alijikuta anakubali ombi la Helena.Basi Helena alipokea kinywaji kile huku shangazi akifanya mambo yake ili kumruhusu Sule arudi sawa.Sule alibumburuka na kuanza kulitafuta begi lake,Kumbe alilisahau pale walipokuwa wanamchinja yule mbuzi.Alilifuata kisha akalichukua tayari kuondoka ,Basi Helena alishapata wazo na namna ya kumzuia Sule.Je wazo lake litafanikiwa?? songa nayo.....

TUKIRUDI HUKU TOWN WALIKO WAZAZI WA SULE

Wakati yote yanaendelea huku nyumbani kwa kina Helena na huku nyumbani kwa mzee Nassor mambo yalikuwa hivi.Mama na Baba wa kambo wa Sule tayari walishapata taarifa za Sule kuonekana na utaratibu uliokuwa unafuata ni namna ya kumrejesha nyumbani.Mama alionekana kufuahi kwani ndio mwanaye wa pekee aliyebaki,Mzee akiwa yuko chumbani alipokea simu,Alipomaliza maongezi alimwambia mkewe"Mama suu!! ile safari yangu bado ipo kwa hivyo kesho nitasafiri sasa njoo nikuachie maagizo ya jinsi ya kufuatilia shughuli zangu kwa muda wa wiki 2" Kiukweli mzee huyu anampenda sana mkewe kwani asilimia kubwa ya mali zake ni mchango kutoka kwa mkewe huyu.Mzee alimwambia"Sasa hizi ni document na hati miliki za miradi yetu yoote kuachana na ile tuliowagawia watoto,Na ikitokea serikali inahitaji kujua kuhusu umiliki au uhakiki wa miradi yetu utatoa copy na hizo copy ndio utakazozionyesha pindi watakapohitaji,Na pia uhakikishe makusanyo yote yamekwenda benki"Mama aliachiwa majukumu yote mbali na hayo majukumu mzee alimwambia"Na uhakikishe sule anarudi kama si leo iwe kesho mapema"Mzee aliongea huku akipanga panga mambo yake.

Huku kwa kina Helena tayari Lucy alisharejea katika hali yake ya kibinadamu na wakati huohuo Sule slionekana anaondoka.Kwa kuwa helena alikuwa amepewa kazi ya kumzuia sule asiondoke bila kunywa kinywaji kile alichopewa na Shangazi,Basi alimfuata sule akiwa na kile kinywaji kujaribu kama hilo litawezekana.....Unahisi nini kitatokea endapo sule atakunywa kinywaji hicho???Toa maoni yako na usisahau kuclick hapo kwenye like.

inaendelea.....