Tuesday 24 October 2017

La Liga yatawala kikosi bora cha FIFA

Katika tuzo zilizotolewa hapo jana siku ya Jumatatu usiku jumla ya wachezaji watano wa klabu ya Real Madrid wametajwa katika kikosi kinaunda wachezaji 11 wa FIFA.


Kikosi bora kilichotangazwa na FIFA 2017

Wachezaji wa Real waliyotajwa ni Ronaldo, Toni Kroos, Luka Modric, Marcelo na Ramos.

Wakati wachezaji wengine ni mlindalango mkongwe wa Juventus, Gianluigi Buffon, Leonardo Bonucci, Dani Alves, Andres Iniesta, Messi na Neymar.