Wednesday 19 July 2017

ZITTO Kabwe Ampinga Tundu Lissu

Kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe apinga Kauli ya Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ya kutaka wafadhili na jumuiya za Kiataifa kuinyima misaada Tanzania kwa sababu ya Serikali kuiminya Demokrasia.

Kupitia Ukuirasa wake wa Twitter ameendika hivi.


Zitto Kabwe amesema kuwa kuzuiliwa kwa misaada kutoka Nje sio njia sahihi ya kutete Demokrasia .