Thursday 20 July 2017

VIDEO: Zari Aondoa Stress za Mimba ya Hamisa Mobeto Kwa Style Hii

Zarithebosslady mama watoto wa diamond platinumz akiwa Uganda kampala kwa mama yake mzazi na dada zake pamoja na rafiki zake wakidance kwa pamoja, kukata viuno yaani viuno bila mfupa.
Inasemekana Zari na Diamond Platinumz wako kwenye
missunderstanding iliyomfanya Zari kukimbilia Uganda kupunguza stress za mume wake diamond baba tifa kumpa mimba Hamisa Mobeto na kuwa na mahusiano na warembo wengine. video: