Thursday 20 July 2017

JE Kuna Uwezekano wa Kizazi Kutolewa Wakati wa Kufanya Mapenzi?

Toka niko mdogo na sasa nimekuwa nilikuwa naambiwa eti inawezekana mwanamke akang'ofolewa kizazi endapo atafanya Mapenzi na mwanaume mwenye uume mrefu.

Sasa nawaza kuwa huo uzazi unaosemewa hapo ni uterus? na kama ndio inawezekanaje ikang'ofolewa kwa uume? ama inakuaje? nisaidie mnaofahamu.

Je Hili lina ukweli au Uongo??? .