Kára McCullough, binti mwenye asili ya kiafrika na marekanimwenye umri wa miaka 25, amechaguliwa kuwa miss USA 2017.
Kara McCullough anayefanya kazi katika kituo cha US Nuclear Regulatory Commission, amesema anataka kushawishi watoto kupenda zaidi masomo ya sayansi,technology, engineering na hisabati.
Kara McCullough anatokea katiaka jimbo la Columbia na alizaliwa Naples, Italy,nakulelewa Virginia Beach, Virginia.