Tuesday 31 January 2017

Yemi Alade apanga kuachia EP ya ‘Mama Afrique’


Yemi Alade anajiandaa kuachia E.P (nyimbo chache zinazounganishwa pamoja) ambayo imeitwa ‘Mama Afrique’.





Kupitia mtandao wa Instagram, muimbaji huyo ameweka wazi kuwa kazi hiyo itatoka kwa ajili ya kuikaribisha albamu yake ya tatu ambayo anatarajia kuiachia mwaka huu.

Kupitia mtandao huo, Yemi ameandika:

Yemi Alade is set to release an E.P titled “Mama Afrique (The Extended Play)”, ahead of the arrival of her third studio album which is expected in 2017. The project is a continuation of her acclaimed sophomore album, “Mama Africa (The Diary of an African Woman)”; and will house new songs, remixes and remakes of original songs on the Mama Africa album.