Thursday 15 June 2017

Trailer ya Documentary ya maisha ya Whitney Houston imetoka (+Video)

Trailer ya Documentary ya maisha ya aliyekuwa mwanamuziki nguli wa muziki wa Pop duniani, Whitney Houston inayoitwa ‘Can I Be Me‘ imetoka.

Whitney Houston


Documentary hiyo inayoonesha upande tofauti wa maisha ya mtu maarufu kama yeye alivyokuwa enzi za uhai wake.

Watu wa karibu na Whitney wamesema msemo wake maarufu aliokuwa anapenda kuutumia wa ‘Can I be me? ndio ilikuwa idea nzima ya kutengeneza Documentary hiyo pamoja na kutumia maneno hayo kwenye title.

Documentary ya Can I Be Me ilioneshwa kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la Tribeca Film Festival na itatoka rasmi Agosti 26 mwaka huu .