Thursday 15 June 2017

Ratiba ya ligi kuu Uingereza yatoka Chelsea kuikaribisha Burnley (Ratiba)

Ratiba ya ligi kuu ya Uingereza 2017-18 imetoka rasmi huku mabingwa watetezi klabu ya Chelsea ikiikaribisha Burnley katika mchezo wa ufunguzi utakao chezwa August 12-13.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Uingereza Chelsea

Newcastle ikiwakaribisha Tottenham, wakati Brighton ikiwa mwenyeji dhidi ya Manchester City na huku Huddersfield ikiwatembelea Crystal Palace.