Wednesday 28 June 2017

D’Banj aweka wazi ujio wa Albamu yake

Msanii D’Banj kutoka nchini Nigeria, siku ya leo ametaja rasmi tarehe ya kuachia albamu yake ‘King Don Come’.



Albamu hiyo ambayo ndani yake kuna project kadhaa zikiwemo za zamani kama vile “No Long Thing, Run Down, Funk U Up na The Entertainer,’ inatarajiwa kutoka ifikapo July 7 mwaka huu.


Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram D’Banj amepost cover ya albamu hiyo na kuandika “#KingdonCome 7-7-17 , Thank you Lord for your Grace .”