Friday 30 June 2017

VIDEO: Humphrey Polepole Aliamsha Dude Kwa Lowassa...Adai ni Mchochezi

Katibu wa Itikadi na Uenezi amesema Humphrey Polepole kuwa Serikali imchukulie hatua kiongozo aliyesikika hivi Karibuni akifitinisha kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu na Serikali.

Juzi aliyekuwa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chadema Edward Lowassa alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa Kilichodaiwa kuwa ni Maneno ya kichochezi aliyoyatoa kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu kwa Serikali.

Hata hivyo Polepole atoa neno kuhusu tuhuma anatuhumiwa Rais Mwinyi na Wapinzani.