Fally Ipupa kuachia albamu mpya mwezi Julai Fally Ipupa ameahidi kuachia albamu yake mpya Julai 7 mwaka huu. Kupitia mtandao wa Twitter, msanii huyo kutoka Congo DRC ametaja jina la albamu hiyo ni ‘Tokooos’. “Albamu mpya #Tokooos July 7 – Inapatikana katika digital awali kuanzia Ijumaa,” ameandika kwenye mtandao huo. Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook