Tuesday 15 April 2014

Wanawake: Kwanini mnapenda Kuvaa Chupi na Khanga pekee yake?

Yaani Kila Unapopita Hapa Mtaani, Kila Mwanamke Awe M-mama ama Binti, awe Mke wa Mtu au Dada poa ni Mwendo wa C.h.u.p.i Ndani na Khanga Nyepesi juu,
Halafu Kila Akitembea Anskuwa anaifungua fungua Khanga Kama Anajifunga vile, Maksudi Tu..... na Upande Mmoja wa

Paja/Hips Kuonekana Kwanin?

Mda Mwingine Ki-Khanga hupandishwa juu na Mipaja kuwa Wazi, Mbaya zaidi wanaofanya hivi ni Wale wenye Makalio Manene,,, Kwanin?

Jamani Mbona Hivi Kutesana? Si Mvae Nguo HukoNdani? au Joto La Dar?????