Monday 28 April 2014

MAMA AMSHUSHIA MWANAE KIPIGO CHA MBWA MWIZI,NI BAADA YA MTOTO HUYO KUWEKA PICHA YA NUSU UTUPU FACEBOOK.!!

Binti alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla.
Mama wa binti huyo baada ya kusikia hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa kichapo kikali kwa kuchapa na mkanda binti yake huyo mwenye umri wa miaka 12.
Baada ya video hii kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and Tobago amesema hajilaumu kumchapa mwanae na wala haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.



Angalia video hapa