Tuesday 15 April 2014

Kisa Cha Kweli. Mashemeji Wengine Nuksi Tupu.

Baada ya mke wangu
kunitambulisha yule shemeji
hisia za mapenzi zikaanza
kunishika kwa kasi ya ajabu.
Nikajiapiza lazima nihakikishe
nampata kwa gharama yoyote
ile.
Shem wangu yule kiukweli
kaumbika maana guu guu hips
hizoo na kwa upande wa
ucheshi wake mimi sisemi kitu.
Basi nikaidaka namba yake na
kuanza kumpa manjonjo na
baada ya muda mtoto akatia
timu na kuendana na matakwa
yangu yaaani kwa kifupi
akasalimu amri.
Akaniahidi tukutane hotel ili
anipe furaha nami sikuwa na la
ziada zaidi ya kumpa fedha ili
siku ikifika nimkute kunako
chumbani.
Siku ikafika mtoto akaniambia
yuko kunako hoteli na mie
nikaenda na kabla ya kuingia
hotel nikaona bora nipige viloba
kwanza vinitoe nishai na kunipa
maujasiri.
Nikavipiga weeee kisha nikaanza
kuona naishiwa nguvu
nikamwomba twende tukajilie
vyetu.
Akanichukua na kunilaza
kitandani na akaniambia
anaenda kununua maji hoteln
na kwa kuwa nilishajichokea na
mikonyagi nikalala na
nakumbuka usiku nikaamka
kumpa gemu moja tafu sana na
akanisifia na tukaendelea kulala.
Asubuhi naamka niwashe taa na
kwenda chooni nilishangaa
kuona kumbe pale hotelini
nililala na mke wangu.
Mke akashtuka na kusema
mbona umeduwaa nikakaa

kimya kwani nilimdanganya
naenda morogoro kikazi kwa
siku moja ana nikaanza kuhisi
kuwa kuna ka mchezo pale.
Nimechanganyikiwa na sina cha
kusema maana naona wamenipa
wakati mgumu kwa kunitegea
mtego huu.
Sijui nifanyeje nimedata..i hate
mashemu wote.