Tuesday 15 April 2014

Hivi ni Kweli Kuwa Wadada wa Kibongo Wanawashobokea Wazungu?

Wiki iliyopita nilikuwa naongea na mzungu fulani hivi katika maongezi yetu anadai eti wakina dada wa kibongo mnawashobokea sana mkiwaona na
wengine wanawaomba wazungu hao wazae nao,je nikweli kwamba dada zetu?????

japo hata mm nilishuhudia demu alikuwa ameongozana na jamaa alipomkuta mzungu fulani anayemfahamu mbona jamaa aliachwa.............vipi wadau juu ya shobo za dada zetu kwa watasha hawa ambao wana rangi tofauti na zetu