Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28, cjaolewa ila nimebahatika kupata mtoto mmoja ambaye tangu amezaliwa ckuwahi kuishi na baba yake na kumlea inshort,
tulishaachana
tulishaachana
Siku tuliyokutana alinipokea vzuri na kuomba msamaha sana kwa sbb aligundua kuwa amenikatisha tamaa na ckuwa najisikia vzuri, katika mazungumzo yetu nikamuuliza swali moja tu una mpango gani ss na huyo dada, akanijib hawezi ishi nae ktk maisha yake,jibu lake lilinipa amani tukarudiana,.
Baadae nilibahatika kumpata kijana mwingine ambaye tulipendana sana Nilijisikia furaha sana kuwa nae matokeo yake bila mm kujua kumbe alikuwa na mahusiano mengine na mwanamke ambaye alimpa ujauzito na baadae kujifungua ambapo mm nilipokuja kujua na niliumia sana, ckuumia kwa sbb ya yy kupata mtoto niliumia kwa sbb alinificha hakuwa mkweli kwangu.