Thursday 24 April 2014

DUH NIKUFULU MUONE HUYU!!



DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika visiwa vya Zanzibar.
Mwanafunzi huyo alionekana kutumia muda wa masomo kufanya mambo yake hayo, na kilichowashangaza wengi kile kitendo cha yeye kutoka
DODOMA mpaka ZANZIBAR ili kutimiza haja zake katika kipindi ambacho wenzake walikuwa katika masomo..
DADA HUYO NA NJEMBA WAKE WAKIENDELEA KULA RAHA.....