Tuesday 15 April 2014

Club Ambiance Aibu:Uvaaji Gani Huu Hata Kama ni Club



Uvaaji wa namna hii ndio umekuwa fashion siku za hivi karibuni

kwa dada zetu hasa nyakati za usiku katika kumbi mbali mbali za starehe na hizi ni baadhi ya picha nilizo bahatika kuzipata katika baadhi ya kumbi za starehe je kwa uvaaji huu maambukizi ya ukimwi yatapungua kweli au ndio biashara matangazo.