Saturday 26 April 2014

Aibu:UVAAJI GANI HUU HATA KAMA NI CLUB??....EBU CHEKI


Uvaaji wa namna hii ndio umekuwa fashion

siku za hivi karibuni kwa dada zetu hasa nyakati za usiku katika kumbi mbali mbali za starehe na hizi ni baadhi ya picha nilizo bahatika kuzipata katika baadhi ya kumbi za starehe je kwa uvaaji huu maambukizi ya ukimwi

yatapungua kweli au ndio biashara matangazo