Friday 25 April 2014

HIZI NDIZO TABIA ANAZOFANYA MSICHANA ANAPOPENDA ILA ANASHINDWA KUSEMA..!! UKIZIFAHAMU WEWE FUNGUKA TU AWE WAKO..!!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfzW1xRl_LBOCo869WERaZ5CIi60h1P8XHx-kETCYNeC3rdG_6PCbrW8aUdU-DvP6QWGcbKvY1_OjLl8Ivs4v0b7Sr06JGNcoOiOLyQ-ACTtsiws8sfQra4IsitO-KGcDWFoGyEHu2WCKN/s640/cropped-image_hupendo-ok+(1).jpg

1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako
kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au


2. Haoni aibu kugusa sehemu yako ya mwili. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomosa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe

3. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli

4. Wivu.
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi.

5 anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele kukupongeza