Serikali yalifungia gazeti la MAWIO Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo imelifungia gazeti la MAWIO kutochapishwa kwa muda wa miezi 24 baada ya kukiuka maagizo ya serikali. Soma taarifa kamili: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook