Thursday 15 June 2017

Bayern Munich ya sajili kiungo wa Lyon (Picha)

Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani imetangaza kumsaini kiungo mshambuliaji wa Lyon, Corentin Tolisso kwa misimu ya miaka mitano.

Mchezaji mpya wa Bayern Munich, Corentin Tolisso asaini miaka mitano 

Kiungo huyo raia wa ufaransa ameingia kandarasi itakayo muweka kwa mabingwa hao wa Bundesliga mpaka mwaka 2022.

Picha zikionyesha Corentin Tolisso akiingia mkataba na klabu ya Bayern Munich