Monday 19 May 2014

Nguo ya Ndani ya Shemeji Yangu Imenishangaza Sana.

Jana nimeshudia kitu cha ajabu sana na cha kushangaza nimejizuia kucheka lakini kiukweli nimeshindwa

Nina swaiba wangu tupo ofisini pamoja na ni marafiki sana leo tumekubaliana kukutana Bar moja ipo hapo kwa remmy ila ghafla jamaa akanipigia simu nipite kwake kwanza tupate baraka ya pamoja kutoka kwa shemeji (mke wa mshikaji)poa mimi nikafanya hivyo kufika kama kawaida mke wa jamaa alinipa juice tukiwa tunapiga stori moja mbili ghafla mtoto wa jamaa katokea chumbani kwao
na CHUPI ya mke wake akijaribu kuivaa
Chupi ilikuwa chafu sana maana ilikuwa nyeupe na inaonekana ilikuwa haijafuliwa 
Kha mke kuona hivyo haraka akampokonya mtoto na kuikimbiza chumbani
Ki ukweli nilijizuia kucheka lakini nilishindwa
Baadae tulisepa na jamaa nipo naye hapa miller tunapiga moja mbili na stori

Kaona noma sana ila kwa pamoja tumekubaliana tumejifunza kitu
Unapokuwa na watoto wadogo hivi vitu tuwe tunaweka sehemu wasiyoweza kufikia