Monday 26 May 2014

HIZI NDIZO ISHARA KUBWA TANO ZA MWANAMKE ALIYEKUZIMIA KISAWASAWA

Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua
kwa uhakika kuwa mwanamke anakupeda
kweli kweli,utajuaje kuwa mwanamke
anakupenda? Zifuatazo ni ishara ambazo
wewe kama mwanaume unapaswa uwe

makini ili uweze kuziona na haraka
kumtolea uvivu huyo mwanamke.
*Mwanamke anaekupenda she apriciates
the lito things you do hata kama sio cha
maana sana na pia anapenda kushare
nawe her time.....
UPO HAPO?
* Mwanamke anayekupenda atahangaika
juu yako, atahangaika juu ya usalama
wako,raha yako,heshima yako na
maendeleo yako.Hii ni moja kati ya ishara
kubwa kuwa mwanamke huyo anaupendo
na wewe.
* Mwanamke anayekupenda atakuonea
wivu mara kadhaa,Wivu ni ishara kuwa
anakupenda wewe na anataka akulinde
usiibiwe au asije akakupoteza,anaogopa
usije ukatoka katika
maisha yake,au kwa
maneno mengine usije ukamtoa moyoni
mwako na nafasi yake ikachukuliwa.Japo
wivu ukizidi sana pia inaweza kuleta tatizo.
UNAIPATA HIYO?
* Mwanamke anayekupenda atakapokuwa
mbele ya marafiki zake au watu wengine
atacheka nao lakini atakugeuzia ww
macho/uso wake haraka sana. Kufanya hivi
ni kuonyesha kuwa anakuhesabia ww
kuwa utaweza kumletea furaha katika
maisha yake,zaidi ya hilo ni kwamba
anatumaini kuwa utamuona kuwa yeye ni
mtu aliye rahisi kufurahishwa kwa kuwa
yeye ni mtu wa furaha.
* Mwanamke anayekupenda ataendelea
kukuangalia usoni kwa muda mrefu kuliko
ilivyo kawaida ya wanawake wengine,mara
nyingi atakuangalia na kutabasamu vizuri.
Hii huenda ni ishara moja muhimu sana ya
kukuambia kimoyomoyo kuwa "NJOO NIKO
KWAAJILI YAKO."
Hivyo kama ulikuwa unahisi unamhitaji basi
ni wakati mwafaka wa kumfuata na
kumweleza ukweli na
kirahisi
nakuhakikishia unabeba mzigo kwani ni
mtu tayari aliyekuwa anahisia kali za
mahaba juu yako...
KUMBUKA: WASICHANA WANAAIBU SANA NA
USITEGEMEE ATAKUFUATA NA ATAKWAMBIA
KUWA ANAKUPENDA KWANI NI WACHACHE
WENYE UJASIRI HUO... ILA UKIONA DALILI
HIZO HAPO JUU USILAZE DAMU .. CHANGAMKA
UTAMMILIKI KIULAINI .